Serekali ya Rais Dkt.Mwinyi inathamini mchango unaotolewa na viongozi wa Dini.

Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar inayoongozwa na Rais Dk.Hussen Ali Mwinyi inathamini mchango unaotolewa na viongozi wa Dini  hali inayopelekea kudumisha Amani na Utulivu. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla alieleza hayo katika mkutano uliojadili nafasi ya  viongozi wa Dini  katika kudumisha Amani na utulivu uliofanyika katika ukumbi wa shekh Idrissa